Mwalimu wa kike mbaroni Kwa kufanya mapenzi na wanafunzi wake wadogo watano mara kwa mara



 

Mwanamke  mwenye umri wa miaka 31 sasa anakabiliwa na mashtaka  16 kwa madai ya uhalifu ngono inayowashirikisha  wanafunzi watano.

Summer Hansen Michelle, aliyekuwa mwalimu wa elimu maalum, amekuwa  akishtakiwa kwa uhalifu wa kingono  kwa watoto wa kiume  watano walio chini ya umri katika shule ya Southern California high school ambapo yeye  aliwahi  kufundisha

Hansen, alikamatwa mwezi Juni,  na  katika kesi  yake alipangwa kufikishwa tena mahakamani  Alhamisi  kujibu mashitaka yake 16, ikiwa ni pamoja na ngono kinyume cha sheria kufanya ngono na   awatoto wadogo. Kama  atakutwa na hatia, atakabiliana hadi miaka 13 gerezani.

Katika taarifa iliyotolewa Jumanne katika Ofisi ya Riverside  ya Wilaya Mwanasheria alisema madai ya uhalifu ulifanyika kati ya Mei 2012 na Mei 2013, na mtuhumiwa alitenda makosa hayo  katika darasa lake na katika gari yake wakati amepaki karibu na nyumba moja ya mwathirika, na  mwingine nyumbani  kwao  na katika waathirika hao hakuna hata mmoja alikuwa mwanafunzi  aliyewahi kufundishwa na mwalimu Hansen
Previous
Next Post »