Hatimaye muimbaji kutoka Marekani
Chris Brown jana amehukumiwa upya kufanya kazi mbalimbali za kijamii
ikiwa pamoja na kusafisha mazingira kwa mudaa wa wiki mbili na siku
mbili . Adhabu hiyo imetokana na kesi iliyokuwa inamakabili muimbaji
huyo juu ya kumpiga aliyekuwa mpenzi wake Rihanna . Hukumu hiyo
imetolewa jana na Jaji wa Los Angeles baada ya kuonekana kuna mapungufu
mengi ya katika kazi alizotakiwa kufanya kulingana na 'probation'
aliyokuwa nayo
EmoticonEmoticon